Kubadilisha dhana na kupiga hatua zaidi nchini Kenya. Tunamuangaziwa mwanamke ambaye tokea akiwa mtoto, alijua vyema kuwa angekuwa rubani. Leah Kihara mwenye umri wa miaka 35 amekuwa angani akiendesha ndege kwa zaidi ya saa 4,000, kazi anayoifurahia.