1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwakinyo kuzipiga na Rayton Okwiri katika pambano la IBA

Mindi Joseph25 Septemba 2023

Bondia namba moja nchini Tanzania Hassan Mwakinyo anarejea tena ulingoni Ijumaa hii kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza kuzipiga na Mkenya Rayton Okwiri katika pambano la kuwania mkanda wa ubingwa wa mabara wa IBA Intercontinental. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Mindi Joseph kutoka Dar es Salaam, Tanzania.

https://p.dw.com/p/4WmuL