SiasaUkraineMwaka mmoja tangu Urusi kuivamia UkraineTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaUkraineBakari Ubena24.02.202324 Februari 2023Leo February 24, 2023, umetimia mwaka mmoja tangu Urusi kuivamia Ukraine. Ukraine inashuhudia mwaka mmoja wa umwagaji damu, vifo, wakimbizi, na uharibifu mkubwa wa majengo na miundombinu kutokana na mashambulizi ya Urusi. #Kurunzihttps://p.dw.com/p/4Nw5IMatangazo