MVUA KALI YAUA 100 ETHIOPIA06.08.20066 Agosti 2006https://p.dw.com/p/CDOFMatangazoADDIS ABABA: Mafuriko yamechukua maisha ya hadi watu 100 na kuteketeza nyumba huko Mashariki mwa Ethiopia kufuatia mvua kali. Mvua hizo zimesababisha mto kufurika-polisi imearifu leo.Kiasi nyumba 220 zimeteketezwa na mafuriko hayo.