1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muuguzi awasaidia wanawake wa Ethiopia waliorudi nyumbani

31 Julai 2017

Muuguzi mahiri Abay Kassahun amejitolea katika kazi yake kuwasaidia wanawake waliokabiliwa na mateso katika nchi za kigeni walikokwenda kutafuta maisha mazuri. Mbali na msaada wa kisaikolojia, wengine wanahitaji ushauri wa afya. Hata huwatembelea wateja wake nyumbani kwao. Kazi yake imempa jina la utani:Muuguzi mtembezi.

https://p.dw.com/p/2hS5H