Polisi wa England wachunguza kauli za kibaguzi dhidi ya wachezaji watatu wa timu ya taifa baada ya timu hiyo kupoteza mechi ya fainali ya kombe la EURO 2020 dhidi ya Italia. Upi mustakhbali wa soka la England? Msikilize Jacob Safari katika mahojiano maalumu na Josephat Charo.