Matangazo
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amejitokeza kwa mara ya kwanza hadharani tangu jeshi la nchi yake kutangaza kuchukuwa madaraka huku likikanusha kufanya mapinduzi, nchini Ujerumani mazungumzo ya kuunda serikali yakwama hadi sasa na huko Marekani, bunge lapitisha makato makubwa ya kodi. Yote ni kwenye Papo kwa Papo leo Novemba 17, 2017.