JamiiMsikiti unaotembea kutumika Olimpiki ya mjini Tokyo 2020To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSylvia Mwehozi26.07.201826 Julai 2018kampuni moja ya Japan imezindua msikiti unaotembea ukitarajiwa kutumika katika michezo ya Olimpiki ya majira ya joto 2020, mjini Tokyo. Una uwezo wa kubeba watu 50 na gharama yake kila mmoja ni yuro 770,000. Papo kwa Papo 26.07.2018.https://p.dw.com/p/326mWMatangazo