Shirika la hisani la Madaktari wasio na Mipaka MSF linaendesha kampeni ya kupambana na Malaria katika kambi ya wakimbizi ya Nduta, mkoani Kigoma nchini Tanzania. Ripota wetu Hawa Bihoga alitemebea kambi hiyo kujionea kazi inayofanywa na MSF na kuandaa vidio hii.