Kwenye Maoni kwenye meza ya duara hii leo, jopo la wataalamu linajadili suala la msamaha uliotolewa na rais wa Tanzania, John Magufuli kwa wahujumu uchumi nchini humo akitaka waandike barua ya kuomba msamaha na kisha kulipa fedha walizoiba. Josephat Charo ndio muongozaji wa mjadala huu. Sikiliza hapa.