JamiiMashariki ya KatiMsafara mwingine wa malori ya misaada waingia GazaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiMashariki ya Kati23.10.202323 Oktoba 2023Shirika la Hilali Nyekundu la Palestina limesema kwamba malori mengine 15 ya misaada yaliobeba chakula, maji na dawa yaliwasili Gaza usiku wa kuamkia leo Jumatatu. #Kurunzi https://p.dw.com/p/4XuPoMatangazo