Mripuko Madrid30.12.200630 Desemba 2006https://p.dw.com/p/CCezMatangazoMADRID: Kuna ripoti za mripuko mkubwa wa bomu katika Uwanja wa ndege wa Madrid, nchini Spain.Mripuko huo umetokea katika eneo la kuegesha magari la uwanja huo mapema leo.