Katika mataifa mengi barani Afrika, kilimo ni uti wa mgongo. Aidha wakulima wanatumia teknolojia kukiimarisha kilimo chao. Mathalan, nchini Kenya, kuna mpango ambao ni wa kusambaza mbolea kidijitali. Thelma Mwadzaya na mengi zaidi kuhusu mpango huo kwenye makala Sema Uvume.