SafariKenyaMmaasai anaetumia kamera kuhifadhi wanyamaporiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSafariKenyaHawa Bihoga21.08.202321 Agosti 2023Ambrose Letoluai ni mfugaji na mpiga picha mwenye talanta. Kwa picha zake za kuvutia za wanyamapori kutoka katika eneo lake, mtafiti huyu anatoa elimu juu ya wanyama na viumbe wengine kama ndege ambao wako hatarini kutoweka.https://p.dw.com/p/4VPajMatangazo