17 Agosti 2018
Matangazo
Hata hivyo inadaiwa kuwa mkasa huo umechochewa na mgogoro wa ardhi uliokuwapo kwa muda mrefu. Sylvia Mwehozi amezungumza na diwani wa kata ya Ilunga Christopher Njerenje, wilaya ya Mbeya ambae kwanza anaanza kwa kuelezea kisa na mkasa cha kutolewa agizo la mkuu wa mkoa la kukamatwa kijiji kizima na kama agizo hilo limeanza kutekelezwa.