Mkutano wa washauri wa Afrika juu ya harakati za Ukimwi mjini Addis Ababa20.02.200720 Februari 2007Mkutano wa washauri wa viongozi wa Afrika juu ya harakati za kupambana na ukimwi unaendelea mjini Addis Abeba.https://p.dw.com/p/CHJsMatangazoMwandishi wetu Anaclet Rwegayura anaripoti zaidi juu ya kikao hicho cha siku mbili.