1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa siku ya Watoto kitaifa wafanyika mjini Kigali

12 Novemba 2009

<p>Rais wa Rwanda Paul Kagame amewaahidi watoto wa nchi hiyo kuwa hivi karibuni kutaundwa tume ya taifa itakayoshughulikia masuala yanayowahusu watoto, katika juhudi za kuhakikisha kuwa haki zao hazikanyagwi.

https://p.dw.com/p/KVTB
Unser Themenbild vom 11.6.2000 zeigt Strassenkinder in Kigali (Ruanda), die Asche und Müll gesammelt haben. Die rot-grüne Bundesregierung will mit einem Aktionsprogramm 2015 im Kampf gegen die weltweite Armut neue Weichen stellen. Sie will damit zu dem UN-Ziel beitragen, den Anteil der absolut Armen an der Weltbevölkerung bis zum Jahr 2015 zu halbiert. Derzeit müssen rund 1,2 Milliarden Menschen mit weniger als einem US-Dollar pro Tag auskomen, ein Fünftel der Weltbevölkerung.
Watoto wa Mitaani mjini Kigali wakikusanya takatakaPicha: dpa
Rais Kagame ameitoa ahadi  hiyo leo mbele ya mkutano wa tano wa watoto kitaifa ulioanza mjini Kigali. Mada ya mkutano huo ni hamasa kwa watoto ili waweze kushiriki katika kulinda haki zao. Watoto kutoka nchi nyingine za jumuiya ya Afrika Mashariki pia wamealikwa kushiriki katika mkutano huo kama anavyoarifu  mwandishi wetu mjini Kigali Daniel Gakuba.

Mtayarishaji:Daniel Gakuba

Mpitiaji:Sekione Kitojo