Mkutano wa SADC kuhusu mzozo wa Zimbabwe nchini Tanzania
28 Machi 2007
Viongozi wa nchi wanachama wa SADC wanakutana mjini Dar es Salaam, Tanzania kwa mkutano wa siku mbili kujadili mzozo wa kisiasa wa Zimbabwe.
https://p.dw.com/p/CB52
Matangazo
Zainab Aziz alipata fursa ya kuzungumza na Profesa Chris Peter wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye kwanza alimuuliza iwapo kweli viongozi hao watakuwa nma ubavu wa kumshinikiza Rias Robert Mugabe ang'atuke madarakani.