Mkutano wa SADC kuhusu mzozo wa Zimbabwe nchini Tanzania
28 Machi 2007
Mkutano wa viongozi wa nchi wanachama wa jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC unatarajiwa kuanza wakati wowote jini Dar es Salaam nchini Tanzania.
https://p.dw.com/p/CB51
Matangazo
Mkutano huo unapanga kujadili mzozo wa kisiasa wa Zimbabwe.
Mohamed Abdulrahman amezungumza na mwandishi wetu Badra Masoud kutaka kujua hali ilivyo kabla ya kuanza kwa mkutano huo.