1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa NATO Bucharest

30 Novemba 2022

Mkutano wa NATO huko Bucharest umeonesha wasiwasi kuhusu hatua ya China ya kujiimarisha kijeshi pamoja na ushirikiano wake na Urusi. Kuhusu mkutano huo na kilichojadiliwa Saumu Mwasimba amezungumza na mwandishi mkongwe wa Dw ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya jukwaa la siasa za kimataifa, Abdu Mtullya na kwanza amemuuliza anadhani ni lengo gani hasa lililofikiwa na mkutano huo?

https://p.dw.com/p/4KJTU