1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa maziwa makuu waendelea mjini Kampala,Uganda

7 Agosti 2012

Mkutano wa siku mbili unaowakutanisha viongozi wa juu wa mataifa 11 kutoka kanda ya maziwa makuu unatarajiwa kuanza rasmi leo (07.08.2012) katika jiji la Kampala nchini Uganda.

https://p.dw.com/p/15l7k
Wananchi wa Mashariki ya Kongo wanategemea mkutano wa maziwa makuu utaleta amani kwao
Wananchi wa Mashariki ya Kongo wanategemea mkutano wa maziwa makuu utaleta amani kwaoPicha: AP

Kubwa katika mkutano huo ni kujadili mzozo unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na suluhu yake. Sudi Mnette amezungumza na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anayehudhuria mkutano huo, ambapo unazijumuisha Angola, Burundi, Congo, Kenya, Rwanda, Sudan,Tanzania, Zambia na mwenyeji, Uganda. Na kwanza nimemuuliza kipi kinachojiri sasa?

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Khelef