Mkutano wa Mazingira na Maji wa bonde la mto Nile21.07.200821 Julai 2008Kumefunguliwa mjini Kinshasa mkutano wa mawaziri wa mazingira na maji wa mataifa wanachama wa bonde la mto NILE.https://p.dw.com/p/EgLFMatangazo Madhumuni ya mkutano huo wa siku mbili nikukadiria miradi ya jumuiya hiyo,ikiwemo huduma ya umeme kwa wananchi wa mataifa wanachama. Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.