Mkutano wa masuala ya maendeleo wa Umoja wa Ulaya mjini Stockholm,Sweden
22 Oktoba 2009Matangazo
Mkutano huo pia ukiangazia bara la afrika
linavyoweza kuwa mshirika mwenza kwenye masuala ya maendeleo.
Mkutano huo ambao umewaleta pamoja wajumbe wapatao 6,000
pamoja na watu mashuhuri wapatao 600, unajadilia masuala ya
msingi ikiwemo, suala la ukaazi halali kwa nchi wanachama wa
Umoja wa Ulaya, mabadiliko ya hali ya hewa na msuko suko wa
uchumi ulioikumba dunia katika siku za hivi karibuni.
Mwandishi wetu kutoka Tanzania, George Njogopa anahudhuria mkutano huu na ametutumia taarifa ifuatayo:
Insert:
Mwandishi: George Njogopa
Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo