Mkutano wa Kilimo mjini Kigali,Rwanda
29 Machi 2007Matangazo
Mada kuu ya mkutano huo ni kubadilishana mawazo kuhusu teknolojia mpya ya kilimo cha kisasa. Takriban wajumbe 300 kutoka Jumuiya za kiuchumi barani Afrika, COMESA na NEPAD, wamehudhuria mkutano huo.
Kutoka Kigali, mwandishi wetu Christopher Karenzi anaripoti zaidi.