Mkutano wa 55 wa Jumuiya ya Madola mjini Arusha,Tanzania
6 Oktoba 2009Matangazo
Moja ya mada iliowagusa sana wajumbe katika mkutano huo ni
kuanzishwa serikali za mseto kama suluhu ya kumaliza migogoro ya
kisiasa inayotokana na kuvurugika kwa mazoezi ya uchaguzi barani
Afrika. Suala muhimu lilikuwa namna ya kupata muwafaka wa
kukomesha vurugu na mabishano kabla na baada ya uchaguzi.
Othman Miraji alizungumza kwa njia ya simu na Hamad Rashid Mohammed, mkuu wa upinzani katika bunge la Tanzania na mbunge wa Wawi, Kisiwani Pemba, kwa tiketi ya Chama cha CUF, kuhusu msimamo wa chama chake juu ya serikali za mseto baada ya chaguzi katika nchi za Afrika...
Mtayarishi:Othman Miraji
Mpitiaji: Mohamed Abdulrahman