1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Uchumi

Mkataba wa kibiashara utalipa nguvu ya kujitegemea Afrika?

26 Machi 2018

Hivi karibuni katika mji wa Kigali, Rwanda viongozi wa mataifa 44 kati ya 55 ya bara la Afrika wamesaini mkataba wa makubaliano ya soko la pamoja linalokusanya wakaazi wapatao dola bilioni 1.2 na ambao kwa pamoja wanafikisha pato la ndani la dola trilioni 3.4. Je Afrika hatimaye itaweza kujitegemea? Zaidi sikiliza majadiliano katika meza ya duara.

https://p.dw.com/p/2uy0j