Mjumbe wa ZEC apinga uchaguzi kurudiwa ZanzibarElizabeth Shoo10.02.201610 Februari 2016Ayoub Bakari ni miongoni mwa wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wanaosema uchaguzi wa Oktoba ulikuwa halali kisheria na hivyo hauwezi kufutika. Msikilize katika mahojiano kwenye Kinagaubaga.https://p.dw.com/p/1HsZlPicha: DW/M. KhelefMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio