SiasaMji wa NairobiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJohn Juma17.04.201817 Aprili 2018Mwanamuziki wa Kenya Octopizzo alikulia katika mtaa wa mabanda wa Kibera, na anajivunia hilo. Anampeleka mwandishi wa habari wa DW katika ziara ya mtaa wake na anaelezea mbona mji wake daima utakuwa sehemu ya utambulisho wake.https://p.dw.com/p/2wCUCMatangazo