1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mjadala kuhusu gharama za harusi Tanzania na changamoto zake

9 Mei 2020

Kipindi cha Vijana Mubashara kimefanya mjadala wa wazi kuhusu gharama za harusi na ni kwa nini baadhi ya vijana hujiingiza kwenye madeni makubwa ilimradi tu waandae harusi kubwa. Je manufaa yake ni gani? Changamoto ni zipi? Nini husababisha harusi kuwa ya gharama ya juu haswa nchini Tanzania? Kwa hayo na mengine mengi, tazama huu mjadala. Vijana Mubashara 77Asilimia

https://p.dw.com/p/3byQ7