Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema Freeman Mbowe aapa kutokuvunjika moyo baada ya kupewa kesi ya ugaidi na kuachiwa huru. Serikali ya Kenya yapeleka polisi na magari ya kivita kulinda mipaka ya Baringo na Pokot Magharibi.
Na nchini Libya mivutano ya kisiasa yazidi kutokota. Jiunge na Saumu Mwasimba katika Afrika wiki hii