1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Milipuko Beirut yasababisha maafa makubwa

5 Agosti 2020

Watu ulimwenguni wanaendelea kutuma risala za rambirambi pamoja na kuiombea nchi ya Lebanon, kufuatia milipuko mikubwa iliyotokea Jumanne na kusababisha vifo vya watu 100 na kuwajeruhi takriban 3,000. Shughuli za uokozi zinaendelea. Sylvia Mwehozi na mengi zaidi kwnye vidio yetu ya Kurunzi

https://p.dw.com/p/3gRpB