1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miezi sita kabla ya uchaguzi mkuu Kenya

Josephat Charo Nyiro10 Februari 2017

Tarehe 8 Agosti mwaka 2017 Wakenya watatumia haki yao ya kikatiba kuchagua viongozi wapya. Wanasiasa, Tume ya Uchaguzi na wananchi wanajiandaaje? Josephat Charo anazungumzia hilo na wachambuzi katika kipindi cha Maoni.

https://p.dw.com/p/2XJx7