You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Michezo
Pata habari na uchambuzi wa michezo.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ujerumani imejiandaa vipi kwa EURO 2024
Michuano ya kuwania kombe la Ulaya la 2024 inatazamiwa kuanza nchini Ujerumani mwaka mmoja kutoka sasa.
12.06.2023 DW Michezo
Al Ahly waendeleza rekodi yao kwa kushinda Taji la 11 la Ligi ya Mabingwa Afrika // Kocha wa Ujerumani Hansi Flick atuma ujumbe kwa vijana wake katika maandalizi ya mashindano ya Ulaya // Novak Djokovic sasa ndiye mchezaji bora kabisa ulimwenguni aliyeshinda mataji mengi makubwa ya Tenisi
Kocha Flick awataka wachezaji kujituma kabla ya Euro 2024
Timu ya Ujerumani ina mechi za kimataifa za kirafiki kabla ya kufanyika mashindano ya Euro 2024 nchini Ujerumani
Djokovic ndiye mchezaji tenisi mwenye mataji mengi zaidi
Mserbia huyo Djokovic alifanya hivyo kwa kumbwaga Casper Ruud kwa seti za 7-6, 6-3 7-5 katika fainali ya French Open
Al Ahly wabeba ubingwa wa Afrika kwa mara ya 11
Al Ahly waliwashinda mabingwa watetezi Wydad Casablanca na kubeba taji lao la 11 la Klabu Bingwa Afrika
Al Ahly ya Misri yashinda ligi ya mabingwa barani Afrika
Al Ahly ya Misri yanyakua taji ya ligi ya mabingwa barani Afrika
Manchester City hatimaye ni mabingwa wa Ulaya
Bao pekee na la ushindi la Man City lilifungwa na Rodri zikiwa zimesalia dakika 22 mchezo kumalizika
City kuchuana na Inter katika fainali ya Ligi ya Mabingwa
Inter Milan, chini ya Jose Mourinho iliifunga Barcelona nusu fainali mwaka 2010 na kushinda mataji matatu msimu huo.
Kwa nini wachezaji kandanda nyota wanaelekea Saudia?
Saudi Arabia imekuwa ikitumia mabilioni ya fedha kuwanunua wachezaji wakubwa wa soka kwenye ligi za Ulaya na kuwapeleka katika Ligi ya taifa hilo tajiri la Mashariki ya Kati. Cristiano Ronaldo na Karim Benzema pamoja na N'golo Kante tayari wamehamia huko. Bruce Amani wa DW anachambua zaidi
Moyes: Fainali ya leo ni muhimu katika maisha yangu ya soka
Iwapo Westham United itaifunga Fiorentina, moja kwa moja itashiriki katika michuano ya Ulaya Europa League msimu ujao.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 07.06.2023
Urusi na Ukraine zatupiana lawama katika mkutano wa UN kuhusika na uharibifu wa bwawa la Kakhovka. Kansela wa Ujerumani akutana kwa mazungumzo na Rais wa Ufaransa. Mahakama kuu ya Uholanzi yakataa kumrejesha nchini Rwanda mshukiwa wa mauaji ya kimbari.
Benzema kuhamia Saudi Arabia?
Luka Modric na Hugo Loris wako kwenye orodha ya wachezaji wanaowindwa na Saudi Arabia katika dirisha hili la uhamisho
Stuttgart yalenga kumaliza kazi dhidi ya Hamburg
Kama Stuttgart watafaulu kuhimili kishindo cha Hamburg, basi watabaki katika Bundesliga kwa msimu wa nne mfululizo
05.06.2023 DW Kiswahili
Mbivu na mbichi kujulikana leo kati ya Stuttgart na Hamburg katika vita vya kucheza Bundesliga msimu ujao // Messi na Benzema waongoza kwenye orodha ya mastaa wa kandanda wanaowindwa na Ligi ya Saudi Arabia // Na matumaini ya Al Ahly kushinda Ligi ya Mabingwa Afrika yapo kwenye mizani licha ya ushindi wa 2 -1 dhidi ya Wydad katika mkondo wa kwanza wa fainali
CAF: Al Ahly yaifunga Wydad Casablanca
Percy Tau na Mahmoud Kahraba waipa ushindi Al Ahly
Sevilla yashinda Kombe la Ligi ya Ulaya kwa kuifunga Roma
Mechi hiyo ilikamilika sare ya 1-1 katika muda wa kawaida
Bayern wazivunja tena nyoyo za mashabiki wa Dortmund
Sherehe za taji la 11 mfululizo la ubingwa wa kandanda wa Ujerumani mjini Munich zingali zikiendelea baada ya Bayern Mun
Terzic: Tutajitahidi tuwe tena katika nafasi hii msimu ujao
Dortmund walihitaji ushindi katika dhidi ya Mainz au sare katika mechi ya Bayern na FC Köln ili waweze kulinyakua taji.
Kipi walichokosea Dortmund na kuyumba kwa Bayern ndio mwanzo wa mwisho wao?
Je, ni kipi kilichowapelekea Borussia Dortmund kutolibeba taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya Ujerumani kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2012 na Heidenheim, ni timu inayotoka katika mji mdogo Ujerumani, imepanda daraja na itashiriki Bundesliga msimu ujao, je, tutarajie kumbukumbu za RB Leipzig? Msikilize Jacob Safari akiyachambua haya na mengine kuhusu mwisho wa msimu wa Bundesliga na Sekione Kitojo.
Guerreiro atangaza kuondoka Borussia Dortmund
Guerreiro hajaeleza anaelekea wapi japo Atletico Madrid na klabu kadhaa za England zinammezea mate.
Ni nani wa kulaumiwa timu inaposhindwa kutamba viwanjani?
Mjadala wa leo katika Vijana Mubashara 77 Asilimia unatuama katika swali hili: Je ni nani anapaswa kubeba lawama pale timu ya soka inapofanya vibaya mwisho wa msimu na kupata matokeo mabaya? Ungana na Sylvia Mwehozi kwenye Vijana Mubashara akilitafutia swali hilo jibu.
Watu 7 mbaroni kwa ubaguzi wa rangi dhidi ya Vinicius Junior
Watu saba wakamatwa kuhusiana na ubaguzi wa rangi dhidi ya mchezaji wa soka Vinicius Junior.
Vinícius Junior aishtumu La Liga kwa kutopambana na ubaguzi
Kumekuwa na malalamiko tofauti juu ya visa vya ubaguzi wa rangi dhidi ya Vinicius Junior.
Haller: Ubingwa wa Bundesliga uko mikononi mwetu
Dortmund ilishinda taji la Bundesliga mara ya mwisho katika msimu wa 2011-12 chini ya kocha Jurgen Klopp.
Dortmund yaizaba Augsburg na kukamata usukani wa ligi
Dortmund walikuwa mabingwa wa ligi mara ya mwisho mwaka wa 2012
Mkanyagano kwenye uwanja wa soka wauwa 12 El Salvador
Watu 12 wamepoteza maisha jana Jumamosi baada ya kutokea mkanyagano katika uwanja wa mpira huko El Salvador.
Nakuru kuwa mwenyeji wa mechi za kimataifa za mchezo wa raga
Tayari 8 zikiwemo KCB, Main Machine, Menengai Oilers, Quins, Nondies, Impala, Western Bulls zimethibitisha ushiriki wao.
Kenya kuwasilisha ombi la pamoja la uwenyeji wa AFCON2027
Rais wa Kenya William Ruto amekutana na jopo linaloshughulikia ombi hilo likiongozwa na Waziri wa michezo Ababu Namwamba
Bayern na Dortmund zinakimbizana mpaka mwisho
Mbio za ubingwa wa Bundesliga zimefika mkondo wa lala salama huku zikiwa zimesalia mechi mbili tu. Mwishoni mwa wiki washindani wawili Bayern na Dortmund walidhihirisha kuwa wako tayari kushikana mashati hadi siku ya mwisho
Dortmund yaendelea kuikaba koo Bayern
Wekundu wa Msimbazi Simba wabanduliwa kombe la shirikisho la soka Tanzania.
Bayern yafanya mazungumzo na mshambuliaji Randal Kolo Muani
Bayern Munich pia iko sokoni kuwawinda washambuliaji Harry Kane wa Tottenham Hotspurs na Victor Osimhen wa Napoli.
Refarii aliyekiri kufanya makosa Bundesliga apokea vitisho
Karim Adeyemi aliangushwa ndani ya kisanduku japo refarii akapuuza na pia kukataa kutazama tukio hilo kupitia VAR.
Manchester City yachupa kileleni mwa Ligi Kuu ya Premia
Ushindi wa City unaamanisha kuwa ubingwa uko mikononi mwao kwani sasa inahitaji kushinda mechi tano pekee kati ya sita.
Wachezaji wa Urusi waruhusiwa katika mashindano ya Tenisi
Baadhi ya michezo imeanza kuwaruhusu wanariadha wa Urusi na Belarus kushiriki michuano ya kimataifa.
Kenya, Tanzania na Uganda zaomba kuwa mwenyeji wa AFCON 2027
Shirikisho la soka barani Afrika, CAF limethibitisha kupokea maombi ya nchi hizo tatu pamoja.
Guardiola: Arsenal ya msimu huu ni kitisho
Manchester City inateremka uwanjani Ettihad kuchuana na Arsenal, mechi ambayo huenda ikaamua mustakabali wa ubingwa.
Union Berlin kushiriki Ligi ya Mabingwa?
Sheraldo Becker aliifungia Union Berlin pale klabu hiyo ilipopata ushindi wa 1-0 dhidi ya Borussia Mönchengladbach Jumap
City yaitandika Bayern na kusonga mbele ligi ya mabingwa
City wametinga hatua ya nusu fainali na sasa watakwaana na Real Madrid katika mechi ya kukatana shoka
Mahasimu wa Milan kukutana nusu fainali ya Champions League
Inter watavaana na AC Milan katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa ulaya.
Michezo: Bundesliga hali ya ubingwa bado ngumu
Borussia Dortmund waitupa nafasi ya kuwawekea shinikizo zaidi Bayern Munich katika kinyang'anyiro cha kuwania taji la Bundesliga, huko England Arsenal watetereka kwa wiki ya pili mfululizo huku Manchester City wakiwanyatia na wekundu wa msimbazi Simba wawaacha mahasimu wao Yanga hoi katika ligi kuu ya Tanzania. Msikilize Jacob Safari.
Mbio za ubingwa wa Ujerumani zashika kasi
Pointi mbili tu ndizo zinazowatenganisha Bayern Munich na Borussia Dortmund katika jedwali la Ligi Kuu ya Ujerumani Bund
Kijana mwenye niqab ashiriki mashindano ya chess ya wanawake
Maafisa wanaosimamia mashindano hayo walianza kumtilia mashaka na kuchukua hatua ambapo waligundua kuwa alikuwa mwanaume
Mabingwa watetezi Real Madrid waishinda Chelsea 2-0
Katika mchezo mwingine AC Milan wameshinda mechi yao ya kwanza 1-0 dhidi ya Napoli ya Italia.
Ancelotti ana imani Benzema na Modric watasalia Real Madrid
Benzema alijiunga na Real Madrid kutoka Lyon mwaka wa 2009
Werner aipeleka Leipzig nusu fainali DFB Pokal
Mabingwa watetezi wa kombe la DFB Pokal, RB Leipzig, wameyaweka hai matumaini yao ya kunyakua tena Kombe hilo.
Bayern Munich yaibuka kidedea katika mechi ya der Klassiker
Der Klassiker ilikuwa mechi ya kwanza kwa Thomas Tuchel kuinoa Bayern Munich dhidi ya klabu yake ya zamani.
Kocha wa timu ya taifa Malawi afutwa kazi
Timu ya taifa ya Malawi imemfuta kazi kocha wake raia wa Romania Mario Marinica baada ya kufungwa mabao 4-0 na Misri.
Vinara wa Seria A wapokea kichapo cha 4-0 mbele ya AC Milan
Ushindi wa AC Milan umeipandisha hadi nafasi ya tatu kwenye jedwali ikiwa na alama 51.
Kiungo wa zamani wa Ujerumani Özil atangaza kustaafu soka
Aliichezea timu ya taifa ya Ujerumani mechi 92 na alikuwa sehemu ya kikosi kilichoshinda Kombe la Dunia mwaka 2014.
Dortmund kileleni mwa Jedwali
Borussia Dortmund iliiduwaza FC Cologne kwa kuitandika mabao 6-1 katika uga wa nyumbani Signal Iduna Park.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 9
Ukurasa unaofuatia