You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Michezo
Pata habari na uchambuzi wa michezo.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kane asema atahitaji muda wa kuzoea kandanda la Ujerumani
Bayern waliweka rekodi kwa kumsajili Kane kutoka Tottenham Hotspur kwa zaidi ya euro milioni 120.
Harry Kane kutua Munich kwa vipimo vya afya
Bayern Munich yampata mrithi wa Robert Lewandowski aliyeondoka Allianz Arena miezi 12 iliyopita.
Bayern hatimaye wavunja benki kwa ajili ya Kane
Mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich wanaripotiwa kufikia makubaliano Alhamis na Tottenham Hotspur kwa ajili ya uhamisho
Tuchel ataka kukamilisha kileleni mwa Bundesliga
Bayern walitetereka msimu uliopita wakilazimika kupambana hadi mechi ya mwisho ya Bundesliga ili kushinda taji.
Ujerumani inaweza kufanya vyema EURO 2024
Ujerumani imepata matokeo yasiyoridhisha katika mechi zake za kimataifa hali iliyowafanya mashabiki kupoteza hamasa.
Neuer bado sana kurejea kikosini Bayern Munich
Tottenham Hotspurs yaipiga chini ofa ya Bayern Munich kumnasa Harry Kane.
Marekani watupwa nje Kombe la Dunia na Sweden
Machozi kwa nyota wa Marekani Megan Rapinoe ambaye amecheza mechi yake ya mwisho kwenye mashindano ya Kombe la Dunia.
Nigeria nje, Uingereza yapeta Kombe la Dunia la Wanawake
Uingereza yasonga mbele hatua ya robo fainali Kombe la Dunia la Wanawake 2023.
Kombe la Dunia la Wanawake limevutia wengi
Kombe la Dunia la Wanawake limevutia wengi kuliko michuano ya mwaka 2019 nchini Ufaransa.
Wachezaji mahiri Ulaya wamiminika Uarabuni, athari ni gani kwa kandanda?
Kumekuwa na wimbi la wachezaji mahiri Ulaya kuhamia Uarabuni kwa mvuto wa mishahara mikubwa wanayoahidiwa. Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji wa kwanza wa hadhi ya juu aliyefungua mlango wa wachezaji mahiri wa Ulaya kuelekea huko na klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia iliwasilisha ombi la kumtaka nyota wa PSG Kylian Mbappe. Ili kulijadili hili, Jacob Safari anazungumza na mchambuzi Sekione Kitojo.
Bayern kumnasa Kane hatimaye?
Vyombo vya habari vya Ujerumani vinaripoti kuwa Afisa Mkuu Mtendaji wa Bayern Munich Jan-Christian Dreesen na mkurugenzi
Uswisi yasonga 16 bora, Ujerumani yalizwa na Colombia
Uswisi inasonga mbele wakati New Zealand wenyeji wenza wa michuano hiyo wakiondolewa sambamba na Ufilipino.
Ufaransa yaitandika Brazil, Sweden watinga hatua ya mtoano
Katika mchezo wa awali, Sweden walishinda bao 5-0 dhidi ya Italia na kusonga hatua ya mtoano ya Kombe la Wanawake.
Arsenal yaishushia mvua ya magoli Barcelona
Miamba Barcelona na Real Madrid kuchuana siku ya Jumamosi mjini Dallas, Marekani kama sehemu ya mechi za kujipima nguvu.
Nigeria yawacharaza wenyeji Australia 3-2 Kombe la Dunia
Nigeria mguu mmoja ndani kutinga hatua ya 16 bora katika michuano ya Kombe la Dunia, wakiifunga Ireland tu wanafuzu.
Uhispania na Japan zafuzu hatua ya 16 bora Kombe la Dunia
Zambia, Costa Rica na Jamhuri ya Ireland zafungashwa virago Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA.
Bayern yafungwa na Manchester City katika mechi ya kirafiki
City pia waliifunga Bayern mabao 4-1 katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya msimu uliopita.
Ujerumani yaicharaza Moroko 6-0 kombe la dunia la wanawake
Jonas Vingegaard wa Denmark ashinda mashindano ya mbio za baiskeli ya Tour de France mwaka huu.
Safu ya ulinzi ya Ujerumani kujaribiwa dhidi ya Morocco
Tatizo la Ujerumani huenda lisiwe kwenye mstari wa nyuma, hata hivyo, bali katika mkakati wa timu.
Gymnastiki yaondoa marufuku kwa wanariadha Urusi, Belarusi
Baraza la kimataifa la Gymnastiki litawapa wachezaji wa mazoezi ya viungo wa Urusi na Belarus fursa kushiriki Olimpiki.
Kombe la dunia la wanawake laendelea kutimua vumbi
Wawakilishi wengine wa Afrika timu ya Zambia, ilichapwa mabao 5-kwa 0 na timu ya Japan, England waliwalaza Haiti bao 1-0
Uchambuzi wa michuano ya kombe la kandanda la wanawake
Michuano ya kombe la dunia la kandanda la wanawake inaendelea huko New Zealand na Australia ambapo leo Nigeria imefanikiwa kutoka sare tasa na Canada katika pambano kali lililoishuhudia mchezaji wa Nigeria akionyeshwa kadi nyekundu.
Manchester United yamsaini Onana kwa mkataba wa miaka mitano
Onana anachukua nafasi ya David de Gea ambaye alitangaza kuondoka United baada ya miaka 12 Old Trafford.
Muwekezaji kijana anayejenga uwanja wa michezo Kampala
Uganda imeungana na nchi jirani za Kenya na Tanzania katika kutafuta kibali cha pamoja cha kuwa wenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2027. Suala la miundombinu bado pasua kichwa, lakini kuna tajiri kijana anayejenga uwanja wa michezo Kampala.
Pendo Njau mwamuzi wa ngumi wa kike wa Tanzania
Mwamuzi wa ngumi wa kike wa Tanzania
Alcaraz ambwaga nguli Djokovic na kubeba taji la Wimbledon
Alcaraz alihitimisha ushindi wa Djokovic wa mataji manne mfululizo ya Wimbledon katika fainali ya kusisimua ya seti tano
DW Michezo 17.07.2023
Timu zafanya maandalizi ya mwisho mwisho kabla ya kung'oa nanga Kombe la Dunia la Wanawake Alhamis wiki hii // Bayern yaendelea kumuwinda Harry Kane, je, Spurs watamuachilia mshambuliaji huyo?// Na mende aangusha kabati katika mashindano ya tenisi ya Wimbledon
Mashindano mapya ya vilabu kufanyika sambamba na CONCACAF
Mashindano ya CONCACAF huandaliwa kila baada ya miaka miwili na mechi ya fainali huchezwa Jumapili mjini Los Angeles.
Kane kujiunga na Bayern? Füllkrug kuhamia Leverkusen?
Ripoti zinasema kuwa nyota huyo wa England na Tottenham Hotspur yuko tayari kujiunga na miamba ya Bundesliga Bayern
Semenya ashinda rufaa kushiriki michezo ya dunia
Semenya, ameshinda rufaa dhidi ya sheria za kuwapiga marufuku wanariadha wa kike walio na homoni nyingi za Testerone.
Tottenham yatia munda uhamisho wa Kane kwenda Bayern
Na katika tenis Iga Swiatek kukipiga na Elina Svitolina katika robo fainali ya Wimbledon kwa wanawake.
Rais Lula akosoa uteuzi wa Carlo Ancelotti kuinoa Brazil.
Carlo Ancelotti anaaminwa kuwa ataitoa kwenye ukame timu ya taifa ya Brazil wa kubeba mataji hasa kombe la dunia.
FIFA yaruhusu bendera za jamii asilia kupepea kombe la dunia
Bendera za jamii za asilia kupepea katika kombe la dunia kwa wanawake huko Australia na New Zealand.
Nahodha wa zamani wa Arsenal Xhaka atua Bayer Leverkusen.
Bayer 04 Leverkusen yainasa saini ya Granit Xhaka kutokea Arsenal .
Bandika bandua ya makocha ndani ya PSG bado inaendelea
Kocha wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Uhispania Luis Enrique anatajwa kuwa mrithi.
Carlo Ancelotti kuinoa timu ya taifa ya Brazil kuanzia 2024
Fernando Diniz ndiye atakuwa kocha wa muda wakati huu hadi pale atakapokabidhi mikoba kamili kwa Muitaliano Ancelotti.
CAF yaingilia mzozo wa timu ya wanawake ya Afrika Kusini
Hatua hiyo inachukuliwa wakati wachezaji wakitarajiwa kuondoka leo kuelekea New Zealand kushiriki kombe la dunia.
Tutapigana kubakisha ndondi kwenye Olimpiki - Rais wa DBV
Rais wa DBV Jens Hadler amesema licha ya kutengwa kwa IBA na kamati ya Olimpiki, olimpiki bado ni ya kipaumbele.
Mashabiki: Dortmund walikosa fursa kwa usajili wa Nmecha
Mshabiki ya klabu ya BVB bado wana wasiwasi kuhusu usajili wa Felix Nmecha licha ya uhakikisho wa rais wa klabu.
Tour de France kuongeza hatua za usalama kwenye miteremko
Waandaji wa Tour de France waimarisha hatua za usalama kwenye miteremko baada ya kifo cha mwendeshaji wa Uswisi.
Kiungo wa Leipzig Szoboszlai ahamia Liverpool
Kiungo wa klabu ya RB Leipzig Dominik Szoboszlai amemia Liverpool katika ligi ya Premier. Klabu ya Inter Milan yasema imekamilisha uhamisho wa Marcus Thuram kutoka Borussia Moenchengladbach. Kevin Prince Boateng kuamua kuhusu mustakhbali wake katika soka. Cesc Fabrigas atangaza anatundika njumu zake.
Bayern kufungua msimu na Bremen Wesserstadion
Mabingwa ligi kuu ya Ujerumani Bayern Munich watafungua msimu wa 2023-24 Agosti 18 dhidi ya Werder Bremen katika dimba la Wesserstadion mjini Bremen. Ni mechi ya hisia nyingi na historia ndefu ya Bundesliga.
Mechi za Kombe la Dunia ngazi ya Vilabu kuchezwa Jeddah
Mashindano hayo yatafanyika Disemba 12 hadi 22 mwaka 2023, na hii itakuwa ni mara ya kwanza kufanyika Saudi Arabia.
Kiungo wa Ujerumani Ilkay Gundogan ajiunga na Barcelona
Petra Kvitova ashinda taji la Berlin Open huku Carlos Alcarez akituma ujumbe mzito kuelekea mashindano ya Wimbledeon.
Arsenal kufanya usajili muhimu ili kuikabili Man City
Meneja wa Arsenal anaamini kwamba Gunners inahitaji kujiimarisha katika soko la usajili
Gündogan ajiunga na Barcelona kutoka Man City
Mabingwa wa Ligi Kuu ya Uhispania Barcelona, wamemsajili nahodha wa zamani wa Manchester City Ilkay Gundogan bila malipo
Kwanini Gündogan anahamia Barcelona?
Ilkay Gündogan ameiongoza Manchester City na kutwaa taji lake la kwanza la Ligi ya Mabingwa.
De La Fuente: Ndio mwanzo mkoko waalika maua Uhispania
Uhispania Jumapili waliubeba ubingwa wa kombe la UEFA Nations League baada ya kuishinda Croatia katika fainali 5-4 kupit
Kunani katika kandanda la Ujerumani timu ya taifa inayumba? - MP3-Stereo
Umesalia mwaka mmoja tu Ujerumani kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Ulaya na timu ya taifa inaonekana kuyumba chini ya uongozi wa kocha Hansi Flick. Ijumaa katika mechi ya kirafiki, Ujerumani ililazwa moja bila na Poland na kabla hapo ilitoka sare ya mabao matatu na Ukraine. Kwa sasa Die Mannschaft imekwenda mechi tatu mfululizo bila kutoa ushindi. Msikilize Jacob Safari na Sekione Kitojo.
Tetesi za uhamisho wa wachezaji barani Ulaya zapamba moto
Tetesi za soka barani zinazidi kugonga vichwa vya wadau wa soka na vilabu vya soka kote barani Ulaya.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 9
Ukurasa unaofuatia