You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Michezo
Pata habari na uchambuzi wa michezo.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Leverkusen kileleni mwa Bundesliga
Bayer Leverkusen imetulia kileleni mwa jedwali la ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani Bundesliga.
Dortmund kileleni mwa Ligi baada ya kuifunga Hoffenheim 3-1
Mshambuliaji mpya wa Dortmund Nicklas Fullkrug alifunga bao lake la kwanza la klabu hiyo kunako dakika ya 18 ya mchezo.
Mechi za mzunguko wa sita wa Bundesliga
Mechi za mzunguko wa sita za ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga, zinaendelea mwishomi mwa juma hili, huku mabingwa watetezi Bayern Munich wakiwa na miadi na RB Leipzig katika mechi ya mwisho ya siku. Sikiliza uchambuzi wa Josephat Charo kutoka dawati la michezo.
Harry Kane, moto wa kuotea mbali Bundesliga
Nahodha huyo wa timu ya taifa ya England alijiunga na Bayern Munich kwa uhamisho wa pauni milioni 100 akitokea Spurs.
Al Hilal Benghazi yatoka sare 1-1 na Rayon Sports ya Rwanda
Bao la dakika za mwisho la Ezzeddin El Maremi liliinyima ushindi Rayon Sports katika mechi iliyochezwa ugani Pele.
Mwakinyo kuzipiga na Rayton Okwiri katika pambano la IBA
Mwakinyo anajivunia taji la kimataifa la UBO aliloshinda mwaka 2018, WBF Intercontinental super welterweight na la ABU.
Kipchoge atamba kwenye mbio za Berlin Marathon
Kipchoge mwenye umri wa miaka 38 ameshinda kwa mara ya tano mbio za Berlin katika makala sita aliyoshiriki.
Yapi yatarajiwe kwa kocha mpya wa Ujerumani?
Julian Nagelsmann athibitishwa kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya Ujerumani. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 36 ataiongoza timu hiyo kwenye michuano ya Euro 2024. Sikiliza uchambuzi wa Sekione Kitojo.
Nagelsmann kocha mpya wa Ujerumani kuelekea Euro 24
Nagelsmann amechukua nafasi ya Hansi Flick, aliyetimuliwa baada ya matokeo mabaya mfululizo katika mechi za kirafiki.
Mechi za hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Ulaya kuanza leo
Manchester City imepangwa kwenye kundi G pamoja na RB Leipzig, Red Star Belgrade na Young Boys.
Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu bila ya Messi na Ronaldo
Ronaldo amejiunga na klabu ya Al Nassr inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia huku Messi akitimkia Ligi ya Marekani MLS.
City kuanza kampeni ya kutetea taji la Ligi ya Mabingwa
Manchester City wamepewa nafasi kubwa ya kutetea ubingwa msimu huu, mbele ya Real Madrid, Bayern Munich na Barcelona.
Klabu ya APR yatoka sare 0-0 na Pyramids Ligi ya Mabingwa
Ni mara ya kwanza kwa Pyramid kucheza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa barani Afrika.
Yanga mguu mmoja hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Mabao ya Yanga yametiwa kambani na washambuliaji Kennedy Musonda na Clement Mzize dhidi ya Al Merrikh ya Sudan.
Shirikisho la DFB lawasiliana na wakala wa Nagelsmann
Nchini Uhispania wachezaji wanawake wamesitisha mgomo baada ya makubaliano ya kuongezewa kima cha chini cha mshahara.
Dawa za kusisimua misuli: Paul Pogba asimamishwa kwa muda
Pogba alikutwa na viwango vya juu vya homoni ya "testosterone".
Jürgen Klopp apigiwa upatu kuinoa timu ya taifa ya Ujerumani
Jürgen Klopp ameiongoza Liverpool kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya Premia na Ligi ya Mabingwa barani Ulaya mwaka 2019.
Baada ya Flick, ni Nagelsmann ama Klopp?
Uamuzi huu unajiri ikiwa imesalia miezi 9 kabla ya kuanza michuano ya kuwania kombe la Ulaya hapa nchini Ujerumani.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 11.09.2023
Tetemeko la ardhi Morocco: Mamia waachwa bila makazi
Rais wa Shirikisho la Soka la Uhispania Rubiales ajiuzulu
Mwezi Agosti, Shirikisho la soka duniani FIFA lilimsimamisha Rubiales.
Ujerumani yamfuta kazi Kocha Hansi Flick
Kulingana na Gazeti la Bild Julian Nagelsmann ndiye anatazamiwa zaidi kuchukua nafasi hiyo.
Madai ya kumshambulia mpenzi yamponza winga wa United
Madai ya kumshambulia mpenzi yamponza winga wa United
Mfahamu msichana bingwa wa mchezo wa judo Msumbiji
Katika umri wa miaka 16, mwanariadha Shénidy Tsemane tayari ni bingwa mara mbili wa mchezo wa judo wa Kiafrika katika kitengo cha kilo 57. Matarajio yake makubwa sasa ni kwenda kwenye Michezo ya Olimpiki ya mwakani nchini Ufaransa na kushinda medali ya dhahabu.
Tanzania yafuzu kushiriki fainali za michuano ya AFCON, 2024
DW imezungumza na mchambuzi wa masuala ya michezo Master Tindwa.
Union Berlin wapokea kipigo cha 3-0 nyumbani
Union Berlin imepoteza mechi yake ya kwanza nyumbani, kwa kipigo cha 3-0 dhidi ya RB Leipzig.
Siku ya mwisho ya uhamisho
Ijumaa mosi ni siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho wa wachezaji barani Ulaya, timu katika Ligi Kuu ya Ujerumani Bundes
Rais wa UEFA aitaja tabia ya Rubiales kama "isiyofaa"
FIFA ilimzuia Rubiales kujihusisha na masuala yote yanayohusu soka kwa muda wa miezi mitatu.
Kurejea kwa mchezo wa ndondi Zanzibar
Baada ya Nusu karne kufungiwa kwa mchezo wa masumbwi zanzibar, mchezo huo sasa umeruhusiwa kuchezwa tena visiwani humo huku baadhi ya mabondia vijana wakitakiwa kutumia fursa hiyo kwa manufaa na kuibua vipaji na ajira zaidi.
Haaland ashinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka PFA
Haaland alihimili ushindani kutoka kwa John Stones, Kevin De Bruyne, Bukayo Saka, Martin Odegaard na Harry Kane.
Shirikisho la kandanda Uhispania lamtaka Rubiales ajiuzulu
Wawakilishi wa shirikisho la soka nchini Uhispania wamemtaka mkuu wa bodi hiyo, Luis Rubiales ajiuzulu mara moja .
Dortmund na VfL Bochum mubashara DW Kiswahili Jumamosi hii
Bayern Munich kuwakaribisha Augsburg nyumbani Allianz Arena huku Freiburg ikichuana na Werder Bremen.
Bundesliga: Manuel Neuer arudi mazoezini
Manuel Neuer amerudi katika mazoezi baada ya kuwa nje kutokana na jeraha la mguu.
Jinsi kampuni ya mpira inaboresha maisha ya walemavu Kenya
Kampuni ya Alive and Kicking inayotengeneza mipira ya michezo imeongeza idadi ya watu wenye ulemavu kuwa wafanyakazi wake kiwandani. Kampuni hiyo inasema huo ni mchango wake kufikia malengo ya maendeleo endelevu ya jamii.
APR ya Rwanda yasonga mbele CAF Kombe la Mabingwa
Timu ya APR FC ya Rwanda imeibandua Gaadiidka FC kutoka Somalia kwa jumla ya magoli 3-1 katika michuano miwili ya mchujo ya kusaka tikiti ya Kombe la CAF Ligi ya Mabingwa Afrika 2024. Mechi iliyochezwa katika uwanja wa Pele, jijini Kigali. Msikilize mwandishi wa DW Christopher Karenzi.
Leverkusen moto wa kuotea mbali Bundesliga
Bayer Leverkusen wameendeleza mwanzo wao mwema wa msimu kwa kuvuna ushindi wa 3-0 walipokuwa ugenini wakicheza na Boruss
Kane atetemesha Bundesliga
Mshambuliaji wa Bayern Munich Harry Kane anasema wiki iliyopita ilikuwa njema mno kwake kwa kuwa mke wake alijifungua na
Tanzania kuwakilishwa na timu moja Kombe la Shirikisho
Azam FC wameshindwa katika azma yao ya kutaka kusonga mbele kwenye hatua ya muondoano ya Kombe la Shirikisho baada ya kucheza na Bahir Dar ya Ethiopia. Msikilize Mindi Joseph akikusimulia mengi zaidi kuhusiana na mashindano hayo na mengi mengine michezoni kutoka Tanzania.
Harry Kane aendelea kutamba Bundesliga
Kane aliyejiunga na Bayern Munich akitokea Tottenham Hotspurs, alifunga pia katika mechi ya wiki iliyopita.
Mkuu wa shirikisho la soka Uhispania akataa kujiuzulu
Rubiales amesema busu lake kwa Hermoso lilikuwa kama kumbusu mtoto na haliwezi kufananishwa na udhalilishaji wa kingono.
Gosens: Ndoto ya kucheza Bundesliga imetimia
Gosens amesema kucheza katika Bundesliga ni mojawapo ya ndoto zake za maisha ambayo amefanikiwa kuitimiza.
Mwanariadha Kipyegon wa Kenya ashinda mbio za mita 1500
Mwanariadha wa kike kutoka Kenya Faith Kipyegon ameshinda mbio za dunia za wanawake za mita 1500.
Timu zilizopanda daraja Bundesliga ziko hoi
Timu zilizopandishwa daraja msimu huu Heidenheim na Darmstadt zimekuwa na mwanzo mbaya wa Ligi Kuu ya Ujerumani baada ya
Je, Harry Kane ataendelea na kasi aliyoanza nayo?
Timu zilizopandishwa daraja msimu huu Heidenheim na Darmstadt zimekuwa na mwanzo mbaya wa Ligi Kuu ya Ujerumani baada ya kupokea kichapo mwishoni mwa wiki katika mechi zao za kwanza. Je, hii ni ishara ya jinsi mambo yatakavyokuwa kwa timu hizo msimu huu? Studioni kupiga gumzo la Bundesliga Jacob Safari yuko na Bruce Amani, wasikilize.
Yanga yaanza Ligi ya Mabingwa kwa kishindo
Mabingwa wa Tanzania bara Yanga SC imeanza vyema mchezo wake wa kwanza wa raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuwafunga wenyeji, ASAS ya kutoka nchini Djibouti 2-0 Jumapili katika dimba la Azam Complex jijini Dar es Salaam. Msikilize Mindi Joseph.
Ligi Kuu ya Rwanda yaanza tena
Ligi kuu ya Rwanda ‘’Rwanda Premier League’’ yaanza rasmi mwishoni mwa wiki huku Rayon ikianza vizuri kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Gasogi United. Sikiliza mengi zaidi na Christopher Karenzi akiwa Kigali, Rwanda.
Harry Kane kuanza katika mechi yake ya kwanza ya Bundesliga
Kane amesema kuwa huenda akahitaji muda wa kuizoea Bayern Munich baada ya kujiunga nao akitokea Tottenham Hotspurs.
Neymar ajiunga na Al Hilal ya Saudi Arabia
Hii ni mara ya kwanza kwa klabu ya Al Hilal kutumia gharama kubwa kiasi hicho kwa ajili ya kumsajili mchezaji mpya.
Cologne kumkosa Mark Uth dhidi ya Dortmund
Cologne imefanikiwa kusonga mbele katika duru ya pili ya michuano ya kombe la shirikisho
Maandalizi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake
Michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake 2023 inayoandaliwa Australia na New Zealand inaingia hatua ya nusu fainali.
14.08.2023 DW Michezo
Mbivu na mbichi kujulikana wakati Kombe la Dunia la Wanawake likiingia nusu fainali// Neymar atimkia Saudi Arabia kutoka PSG huku Mbappe akirejeshwa kikosini// Na RB Leipzig yaharibu karamu ya Bayern Munich ya kumkaribisha staa wao mpya Harry Kane
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 9
Ukurasa unaofuatia