Michango ya Fedha kwa ajili ya Kampeni ya Uchaguzi nchini Kenya
31 Julai 2007
Huku uchaguzi wa Kenya ukiwa unakaribia, wagombea wa kiti cha urais akiwemo Rais Mwai Kibaki wanaendelea kuchangisha fedha zitakazotumika kwenye kampeni zao.
https://p.dw.com/p/CHAH
Matangazo
Zainab Aziz alizungumza na Profesa Tom Namwamba mhadhiri wa falsafa katika chuo kikuu cha Kenyatta juu ya wimbi hili la michango kwa ajili ya kampeni fedha zinazotarajiwa kufikia kiwango cha mabilioni ya fedha.