MigogoroMiaka miwili tangu uvamizi wa Urusi dhidi ya UkraineTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMigogoroRashid Chilumba23.02.202423 Februari 2024Ni miaka miwili imepita sasa tangu Urusi ilipoivamia kikamilifu Ukraine. Rashid Chilumba anazungumza na Abdalla Salim Mzee, mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa mjini Berlin, na kwanza anatoa tathmini yake ya miaka miwili ya vita hivyo.https://p.dw.com/p/4coSNMatangazo