1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 50 ya Mapinduzi kwenye kitabu kimoja

20 Januari 2014

Mwaka huu wakati Zanzibar ikiadhimisha nusu karne ya Mapinduzi yake ya tarehe 12 Januari 1964, Javed Jafferrji na Ismail Jussa wamezindua kitabu cha kumbukumbu kwa njia ya picha kuielezea dhana ya umoja na maridhiano.

https://p.dw.com/p/1Atqv
Mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar.
Mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar.Picha: Gabriel Bouys/AFP/Getty Images

Katika makala haya ya Kinagaubaga, Mohammed Khelef anazungumza na Ismail Jussa juu ya dhima ya maridhiano na mshikamano ndani ya miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar kama inavyosimuliwa kwenye kitabu kipya kilichozinduliwa hivi karibuni.

Kusikiliza mahojiano hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chinu.