Ni miaka 100 tangu wanawake Uingereza walipopata haki ya kushiriki siasa ikiwa ni pamoja na kupiga kura. Baada ya Uingereza kubadili sheria zake, nchi nyingi zilifuata na kuruhusu wanawake kupiga kura.
https://p.dw.com/p/2sCFV
Matangazo
J3.06.02.2018_ 100 yrs for Women Rights into Politics- Interview- Mongela - MP3-Stereo
Je tangu wakati huo ushiriki wa mwanamke katika nyadhifa za maamuzi kisiasa ukoje? Kuhusiana na hilo DW imezungumza na Gertrude Mongela ambaye mwaka 1995 alikuwa Katibu Mkuu wa mkutano wa dunia wa wanawake uliofanyika Beijing, China.