Mzozo wa kisiasa unaofukuta baina ya vyama vinavyoshirikiana serikalini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo unaibua wasiwasi. Omar Kavota, ni mwanaharakati na hapa anajibu swali la je ipi njia bora ya kusuluhisha mzozo huo unaotuama kati ya kambi ya rais wa sasa Felix Tshisekedi na rais mstafu Joseph Kabila?