Alikuwa mwenye nguvu. Alikuwa mzungumzaji. Si tu kwamba alifungua milango kwa wanawake bali pia aliwapa msukumo. Ni Mwanaharakati wa wanawake na mwanasiasa wa Nigeria Margaret Ekpo ambaye alisaidia kubadili mwelekeo wa siasa za Nigeria na hii ni hadithi yake