1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Merkel njiapanda kuhusu sera ya uhamiaji

18 Juni 2018

Viongozi wenye misimamo mikali katika muungano wa kifadhina wa kansela Angela Merkel wamempa muda wa wiki mbili kukaza sheria za hifadhi au ahatarishe kuitumbukiza Ujerumani katika mgogoro wa kisiasa ambao unaweza kuitikisa pia Ulaya.

https://p.dw.com/p/2znV9