1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Merkel, Macron wasaini mkataba wa ushirikiano

22 Januari 2019

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa wanakutana mjini Aachen kusaini mkataba wa urafiki unaokumbushia makubaliano ya mwaka 1963 ambayo mataifa hayo yaliyowahi kuwa mahasimu waliafikiana. Kurunzi 22.01.2019.

https://p.dw.com/p/3Bxii