1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Merkel azuru Israel

4 Oktoba 2018

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel yuko nchini Israel kwa ziara fupi inayolenga kuangazia maeneo ya mashirikiano, uchumi na maendeleo. Akiwa nchini humo amezuru makumbusho ya mauaji ya halaiki ya Wayahudi. Tazama Vidio hii kwa mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/3607Y