1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Merkel atabiri mkutano mgumu wa G7

6 Juni 2018

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel ametabiri kuwa mazungumzo ya kundi la nchi 7 zenye uchumi mkubwa duniani, G7 yatakuwa magumu. Merkel ameyasema hayo wakati akizungumza bungeni siku mbili kabla ya mkutano huo.

https://p.dw.com/p/2z2n1