1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchuma riziki kwa kuvunja mawe

9 Mei 2018

Kupasua miamba na kuvunja mawe ni kazi ya sulubu. Lakini kwa Jaffar Issa, hiyo ndiyo kazi anayoipenda. Ungana na Dotto Bulendu ujue mengi kumhusu kijana huyu na kazi yake kwenye makala Vijana Mubashara.

https://p.dw.com/p/2xR2b