1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchezaji mpira wa Freestyle kutoka Kenya

3 Julai 2018

Edward “Gattuso” Murimi anajipatia kipato chake kutokana na ujuzi wake wa kupepeta mpira kwa njia ya Freestyle. Siku ikiwa nzuri, Edward hupata kati ya Dola 20 hadi 30.

https://p.dw.com/p/30khn