Mchakato wa kumfukuza kazi Gavana wa kaunti ya Nairobi umeanza rasmi katika baraza la Senate la Kenya. Mike Sonko anaandamwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, ukatili na ukiukaji wa katiba. Shughuli hii itakamilika kesho jioni maseneta watakapoga kura ya kumuokoa au kumnusuru. Thelma Mwadzaya alituarifu zaidi kutoka Nairobi.