Makala ya Mbiu ya Mnyonge inaangazia mauwaji yanayofanywa na waasi kutoka Uganda ADF katika wilaya za Beni na Irumu katika eneo la Kaskazini mashariki ya Congo pamoja na kuziathiri jamii nyingine, yanawaangamiza pia mbilikimo ambao wamekwishalazimika kuacha makaazi yao ya asili misituni na kukimbilia usalama katika maeneo mengine.