1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazungumzo ya amani ya Ethiopia

27 Oktoba 2022

Wakati mazungumzo ya kutafuta amani yakiendelea nchini Afrika Kusini kati ya serikali ya Ethiopia na chama cha ukombozi wa Tigray, TPLF, jeshi la Ethiopia limewataka wapiganaji wa TPLF kujisalimisha, na kuzitaka mamlaka husika kuwapokea vyema wapiganaji wa kundi hilo watakaoweka silaha chini. Tatu Karema amezungumza na Gwandumi Mwakatobe, mchambuzi anayefuatilia matukio ya Ethiopia.

https://p.dw.com/p/4Ilfs